Mkuu mm siyo mfanyakazi wa hizi kampuni za mawasiliano, lakini hivi viwango vinategemeana na nchi.Maana kama voda naona special bundles kwa UK,US,India,China ,Dubai,South Africa, na Kenya ,lakini ukipigia nchi nyingine tofauti na hizo lazima uumie tu.kama calls zako sio very official kwa nini usitumie whatsapp, but pia hata kama ni official unaweza kutumia whatsapp au skype na ukamaliza deal.hii ni njia ya ku-optimise cost