Ndugu Yangu Najua Umetoa Mfano wa eneo Hilo kwa sababu Unajua Huenda Watu wenye Uchungu na Nchi Hii wanapita!!
Kumbe Mawazo yako yanaweza kuwa Ndio au Sio!!
Kwa Taarifa, wenye Uchungu na Nchi hii walikufa na Nyerere!! Hili tatizo limeenea Kila kona ya Nchi Hii, ila hali ni Mbaya kwa Maeneo ambayo Ujenzi wenyewe unafadhiliwa na Hela za Ndani!! Kwani Utaona Mambo Mengi Yanafanywa Kwa Hisia Bila Kushirikisha Utaalamu Ili Mkandarasi Husika aweze kupata Faida Kubwa!!
Ni wazi ijulikane kuwa 'Hakuna mkandarasi anayeweza kufanya kazi nzuri bila kuwa na Michoro na Standard ya kile anachokifanya!'
Mifano ya Kazi za aina hii na ambazo serekali imepata Hasara Kubwa ni:
1. Barabara ya Kigogo first Inn - Mwembechai!! (Hii barabara ndio inakaribia Kukamilika ila kwa Nyuma maeneo ya Mianzini Ina Mashimo Mengi) Je kwa hali hii watanzania tumelaaniwa na Hatuna uchungu na Kodi Zetu?
2. Barabara ya Shekilango - very poor construction Without Design!!
3. Barabara ya Mwika sinza makaburini kuja Sam Nujoma - Very Poor quality of Construction na imeshaanza kuharibika
4. Barabara Uwanja wa ndege Kuelekea Kisarawe!! - Very poor quality