Bei iendelee hii hii, kuna kipindi mafuta yalishuka Sana Bei baada ya serikali kuingilia, watu wakaanza kulalama kjwa serikali iache soko liamue bei. Iongezeke ili tupate akiliHabarini wanajamvi, katika pita pita zangu nimeona gharama za mafuta hapa nchini kwetu Tanzania( Aprili 2021). Kwangu mimi naona zinazidi kupanda tu.Kiukweli mimi sio mtaalamu wa mambo haya lakini naombeni watu watueleweshe inakuaje mafuta yanapanda bei. Sambamba na nini kifanyike bei iwe rafiki kwa watumiaji wa kila siku.View attachment 1745384
bei mpya za mfuta kuanzia tarehe 7 april 2021View attachment 1745386
bei elekezi ambayo ni Tsh 2,123/=. mbona itakua hatari sasaBei iendelee hii hii, kuna kipindi mafuta yalishuka Sana Bei baada ya serikali kuingilia, watu wakaanza kulalama kjwa serikali iache soko liamue bei. Iongezeke ili tupate akili
kwahio kwa kipindi cha kama miezi miwili mfululizo gharama zita zidi au.. kwa maana sfar za meli kuanzia wiki tatu mpaka mweziKwa hali ilivyokuwa pale Suez Canal meli nyingi zimechelewa kuleta mizigo kwenye ports of destination, hii imefanya zaidi ya meli 400 za mizigo kukwama gharama itapanda tu.
kwa kwelly inabid tupaze sauti kwa mamaTupaze sauti mama atasikia kilio chetu na bei itashushwa.
ngoja wachek jicho legevu la mamada tumeludi kule kule naona wahindi wana mtest mama
hata mimi mwenyewe nashangaaa ndo maana. wakati nchi za nje zipo kwenye wimbi la pili la coronaYanarudi kule kule kwenye 2,500.....tunajua biashara ya mafuta ilidorora tangu korona iingie na kufanya mafuta yauzwe kwa bei ya kutupwa na wakati mwingine kutolewa bure ili kupisha uzalishaji, nini kimetokea?
ila tunaendelea kuumia sisi watumiajiNgoja tuone itakuaje...
Huku kwetu Arusha lita 6,000/7,000Hapo ongeza na mafuta ya kupikia lita ni Tsh 5000,Kila sehem bei znapanda tu mara vifurush mara mafuta kaz ipo !
hapo umenena kwenye transportation costsMaisha bana ya ajabu sana,wakati sisi tunajadili kupanda kwa mafuta kuna mkuda anataka gari ya kutembelea yenye CC 3000.
Shida ipo kwa raia wenye vipato vya chini.
Mafuta yakipanda na vitu pia hupanda"transportation cost"
tuseme maisha yamekua gharama sana.. kila sehemu panakua pamoto. serikali ndo yenye pesa tu 😂Hapo ongeza na mafuta ya kupikia lita ni Tsh 5000,Kila sehem bei znapanda tu mara vifurush mara mafuta kaz ipo !