Gharama za Maandalizi ya Mechi ya Star vs Chad analipa nani?

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,948
6,538
Wakuu nimemsikia Aden Rage akisema CAF watalipa gharama zote kwa TFF, najiuliza gharama hizi zitalipwa kwa pesa ipi? Hii ya fine ilopigwa Chad $20,000? Mbona Ni pesa ndogo? Au CAF huwa Ina mfuko maalumu kwa fidia hizi?
 
Back
Top Bottom