Gharama za kutuma na kutoa Pesa ziko hivi

Sasa hao Tigo,M-Pesa and Co si watatupandishia na sisi gharama ili tuwe sawa?
Sidhani kama gharama za kufanya miamala zitabaki vilevile.
Wakipandisha haitawasaidia kwani na gharama za kodi zitaongezeka kwao tena.
 
Good.ufafanuzi poa.hata mie nlishaogopa! But kama hiyo itakatwa kutoka kwenye ile income ya hayo makampni ya cm si watatafuta mbinu nyingine ya kufidia pengo hilo toka kwa wateja wao?
 
UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.

[emoji15]

wengi tunalijua hilo ni zito na ukawa tu ndiyo hawalijui
 
Hawa jamaa wa mobile money mfano mpesa inaonekana walishaisoma ramani ya bajeti kabla hata haijatoka na ndio maana walipandisha viwango vya makato katika kutuma na kupokea pesa mapema mwezi wa nne kabla wananchi hawajasikia bajeti. Walifanya hivyo mapema ili wananchi waanze kuzoea makato makubwa na hata bajeti ikipita msistuke sana maana wao tayari wameshapangilia faida yao vizuri na hali mmeshaizoea na mtazidi kuizoea tu.... Hapa ndio utaelewa maana ya ule wimbo wa WATAISOMBA NAMBA eehh
 
UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.

[emoji15]
Akhsante mkuu kwa maelezo , tena mi nadhani serikali imechelewa na aidha hiyo 10% ingeongezwa.

Nchi nyingi za kiafrika kwa kutokua na knowledge makampuni mengi yanayokuja African in the face of the so called uwekezaji hutumia huo udhaifu kutorosha mabilioni ya faida wenyewe wana msemo wanasema "Tanzania/Africa is where you come very poor and you leave very rich"

ANGALIZO : Ifahamike kuwa mwananchi ndiyo mlipa kodi na haya makampuni iwe manufacturing or services provider wao ni kama ma-agent tu wa kukusanya na kwa kua wamekua wakinufaika na udhaifu wa serikali am sure kwa introduction ya hiyo kodi 28% (10 & 18% respectively)kwenye withdraw charges, hawa jamaa wataongeza gharama ili waendelee ku-earn same profit or more. Kwa mfano same amount 20,000 wanaweza kuongeza withdraw charges 1800 so that despite serikali kuchukua 28% still wanabaki na faida ileile tena zaidi kwa 96shs HIVYO SERIKALI ISIMAMIE KUHAKIKISHA HAWAONGEZI CHARGES MAANA MWISHO WA SIKU MWANANCHI NDO ANAUMIA

Mwananchi anabeba mzigo mzito sana kusema kweli halfu makampuni makubwa yako kwenye pepo ya kutokulipa kodi kwa mfano mwananchi mwenye mshahara wa laki 5 (500,000) hebu angalia kodi anazolipa
1. PAYE
2. UMEME - VAT + ewura
3. MAJI - VAT+ ewura
4. GAS - VAT
5. HOUSE HOLD EXPENSES -VAT
6. NYUMBA - KODI YA JENGO
7. HOSPITALI - VAT
8. MAFUTA YA GARI - VAT
Na kodi nyingine nyingi, mshahara ambao ushakatwa kodi unaendelea kukamuliwa mpaka unabaki kapuku kabisa huku wengine wakijizolea mabilioni ya shilingi

UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.

[emoji15]
 
Haya makapuni ya simu watagundua njia ya kufidia hizo fedha. Dakika za kujiunga na bundles zitapungua.
 
Hata kama makampuni ya simu yakiongeza gharama lakini makato utayokatwa sio kama vile baadhi ya watu walivyokuwa wanaongopea wananchi kwamba kila ktk 1000 utakazotoa basi utakatwa 280,maelezo yale ndio yalikuwa yanawapagawisha watu
 
Sasa hao Tigo,M-Pesa and Co si watatupandishia na sisi gharama ili tuwe sawa?
Sidhani kama gharama za kufanya miamala zitabaki vilevile.
Huo ndo ukweli ndo wewe utalipa hiyo kodi ndugu kwa njia yoyote watakayoona inafaa
 
UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.

[emoji15]
Mbona naona kama hela ya kutuma na kutolea itakuwa imeongezeka?? Inakuwaje# Valentineoneday
 
Asante sana kwa tafsiri nzuri mkuu maana wenye munkari walisha toa povu humu
pye hilo ni chaka kama sio pori hizi fani zinawenyewe ndugu kama hujui bora anyamaze ofcoz huo ndo ufafanuzi lakini indirectly tumeongezewa wananchi maana ndo wahanga siku zote so povu litaanza kukutoka wewe pale unapoambiwa makato ya kutuma au kutoa yameongezeka sijui utaandamana .fungueni akili bandugu sio kila kitu cha kumezeshwa karne hii oho!!!!!!!
 
Wakipandisha haitawasaidia kwani na gharama za kodi zitaongezeka kwao tena.
hahaha mburulazi usidhani ndo wanakomolewa wao kuongezewa kodi mkuu ni sisi siku zote ndo wabeba mzigo so bora serikali iangalie manuva zaidi kumbuka wale wako kibusiness si kimsaada sasa kama hawatapata ile faida waliopanga wapate yearly do you think they gonna do business?
 
Yarabiiiiiii sasa hivi gharama zikoje mkuu?
UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.
ANGALIZO: Imekopiwa kama ilivyoandikwa.
 
A
Hawa jamaa wa mobile money mfano mpesa inaonekana walishaisoma ramani ya bajeti kabla hata haijatoka na ndio maana walipandisha viwango vya makato katika kutuma na kupokea pesa mapema mwezi wa nne kabla wananchi hawajasikia bajeti. Walifanya hivyo mapema ili wananchi waanze kuzoea makato makubwa na hata bajeti ikipita msistuke sana maana wao tayari wameshapangilia faida yao vizuri na hali mmeshaizoea na mtazidi kuizoea tu.... Hapa ndio utaelewa maana ya ule wimbo wa WATAISOMBA NAMBA eehh[/QUOT
Hahahaha acha waisome namba eeeeeeeee CCM mbele kwa mbele,waacheni walalamike ee kodi mbele kwa mbeleeeeeeeeee!!!!!!!!!
 
Kama kampuni hzo za cm zmeongezewa Kodi unafkiri kampuni hzo hazitaongeza gharama za kutuma na kutoa pesa kwa Wateja wake(wa anchi) ili waendelee kupata faida kubwa, kwa mfano:
Kwa kutoa 20000/= ilikuwa inakatwa 1200/=
Serikali ikichukua kodi yake ya asilimia 10 ambayo ni sawa na sh 120
Halafu ikakatwa na VAT asilimia 18 ambayo ni sh 216.
Kwa hyo makato yote kwa ujumla inakuwa sh 336/=
Kutoka kwenye 1200/ kampuni linakuwa lmebakiwa na sh 864. Hiki ni kiasi kidogo ukilinganisha na walivokuwa wakipata awali kabla ya ongezeko hli la Kodi, kwa hyo ili wajarbu kubalance faida lazma waongeze tozo badala ya 1200/= inakuwa 1500/= kiasi kwamba serikali ikichukua kodi +vat( 10%+18%) ya 1500/= 420/= haya makato yote ukiyatoa kutoka ile sh 1500/= kampuni wanabakiwa na sh 1080/= ambayo ni kubwa ukilinganisha na sh 864/= kwa kampuni..
Naomba kidogo ufafanuzi wa hlo inawezekana mm cjaelewa.

Hapa uko sawa Mkuu wala usidanganywe, hata kama ni wewe ulikua unafanya biashara huwezi kukubali kukatwa faida yako utaongeza iyo kodi yote ya serikali ilipwe na wananchi wewe chako kibaki palepale. Kwakua serikali haikupangii utoze faida sh. ngapi na kila ukipandisha faida serikali ndio itakuwa inafurahia zaidi kwakua na kodi yao itakua inapanda.
 
Back
Top Bottom