ili uweze kupata kodi ni lazima cc za hiyo gari utaje, mwaka wa matengenezo hapo utajua kodi ya tra na kujua gharama nzima unatakiwa utoi bei ya hiyo gari fob au cif. Ndio tutajua ila kama ya 2005 kwa gari hiyo kwa makadirio andaa kuanzia 10 na kuendelea.