Gharama za kutoa gari bandarini kuanzia July 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kutoa gari bandarini kuanzia July 2012

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Janejo, Jul 4, 2012.

 1. J

  Janejo Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naomba kujulishwa gharama mpya za kodi kwa gari ya mwaka 2002 kuanzia July 2012. Nimeagizia Toyota vitz toka Japan hivi karibuni.
   
 2. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subiri waje wajuzi wa mambo ya bandari.
   
 3. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu kilichobadilika ni kuwa "dumping fee" ambayo ni 20 % ya CIF value inahusisha magari yaliyo na umri wa zaidi ya miaka 8 badala ya miaka 10 kama ilivyokuwa hapo awali. Kodi zingine zinabaki kama kawaida.
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Nenda TRA Hacha uvivu
   
 5. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Aache uvivu gani sasa ndugu yangu? Kwani kuuliza ni kosa? Halafu unaujua urasimu wa TRA wewe hata wa kupata haya maelezo kidogo tu anayoyataka?
   
 6. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kama ni vitz yenye CC chini ya 1000 na umri wake ni zaidi ya miaka 8 toka ilipotengenezwa utalipa 25% Import duty, Dumping fee 20% na VAT 18% kama ni zaidi ya cc 1000 basi utaongeza hapo 5% Excise duty, kwa kifupi tu ni kwamba jiandae kulipa kiasi almost sawa na CIF price uliyolipa.
   
 7. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ndio maana ya kuishi katika digital age,kwani mitandao kama hii ni ya nini?
   
 8. j

  julisa JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa ni kama 78% ya CIF..
   
 9. J

  Janejo Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu Mashauri nashukuru kwa maelezo yako. Swali langu ni je percentage rates zitabaki kama zamani. Angalia hapa chini:
  DEPRECIATION FOR DIRECT IMPORTS
  0to <1 year 10%
  1 to < 2 years 15%
  2 to < 3 years 20%
  3 to < 4 years 25%
  4 to < 5 years 30%
  5 to < 6 years 35%
  6 to < 7 years 40%
  7 to < 8 years 50%
  8 to < 9 years 60%
  9 to &#8804; 10 years 70%
  above 10 years
   
 10. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yeah, hizo zinabaki kama zilivyo mkuu
   
 11. Ansah Miles

  Ansah Miles JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Exactly mkubwa nami ndio hesabu nilizopigiwa na TRA, kodi plus damping fee hiyo ya 20% imefika sawa sawa na CIF.....this JULY 2012 imetuumiza kweli wengi wetu,
   
 12. m

  mzee wa busara Senior Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  lkn mbona ukitizama ile formula ya TRA ya gari yangu,haihusishi kabisa CIF value?,so nyie mnawezaje kupata hiyo kodi kwa kutumia CIF value?
   
 13. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mabadiliko mengine ni kwamba dumping fee inakuwa applied mpaka kwa vyombo vya utility kama vile Pick Up na Canter
   
Loading...