Gharama za kutembelea mbuga ya Serengeti

Gharama za kutembelea mbuga ya Serengeti

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,124
Reaction score
895
Wana-JamiiForums, awali ya yote Heri ya Christmas na mwaka mpya.

Naomba kujuzwa gharama ya kutembelea mbugani Serengeti ikiwa ni pamoja na hotel. Lengo niipeleke family yangu huko atleast kwa siku tatu!!

Natanguliza shukrani...
 
Ngorongoro Serena Safari Lodge

Kwa mtu mmoja ni $ 456

Tangia jana usiku tulifika huku leo asubuhi hadi mchana tulikuwa huku porini tunawinda! Na kibali sijui raia wa kawaida wanaingiaje

Karibu hapa Serena Safari tunashushia cattle na serengeti
 
Hiyo bei ni 3days 2 nights kama akuvyotaka mleta uzi?
Na ina include nini?
 
Habari wakuu,nahitaji kufahamu taratibu kwa maana ya gharama za malazi,chakula na kutembezwa mbugani katika hifadhi yetu ya Serengeti national park kwa wale ambao wamefanikiwa kutembelea,ili nifanye budget ya mimi pia kutembelea.
Asante
 
ingia you tube andika serengeti download video ya lisaa limoja angalia wanyama wote bila wasi, maana najua ukenda uko lazima uliwe na simba
 
Back
Top Bottom