NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
wakuu naomba kujua gharama ya kuprint jezi-kuandika namba na jina kwa dar na maeneo wanatoa hiyo huduma
Ngoja nikaulizie Kwa God Temba AKA GTwakuu naomba kujua gharama ya kuprint jezi-kuandika namba na jina kwa dar na maeneo wanatoa hiyo huduma
![]()
poa mkuuNgoja nikaulizie Kwa God Temba AKA GT
Unazo ngapi mkuu?wakuu naomba kujua gharama ya kuprint jezi-kuandika namba na jina kwa dar na maeneo wanatoa hiyo huduma
![]()
3 mkuuUnazo ngapi mkuu?
mkuu tisha sana nashukuru mnoIngia instagram, search david_sportsweartz jamaa ana print kwa bei rahisi sana, herufi moja 800