Plasta si ndio lipu au ....Habari zenu jamani,napenda kujua gharama za kupiga plasta,nyumba ipo katika mazingira ya kiuswazi,ni nyumba kuukuu inafanyiwa ukarabati tu,Napenda kujua gharama na pia kama kuna fundi alishawahi kukufanyia kazi ya plasta unaweza ukani pm tukielewana nimpatie kazi
Na ile ya viupeleupele ndio inaitwaje ....Ndio iyo iyo
Si nauliza tu babu ...... Mbona mnasingizia sana bangi ...Acha bangi kijana,shule mnafungua jumatatu ujue
Chooping mzee babaSi nauliza tu babu ...... Mbona mnasingizia sana bangi ...
Heri wewe .... Barikiwa sana .... Nimejikuna nazo sana utotoni ....
Heri wewe .... Nimeanikia sana soksi
0783200151 Mpigie huyo fundi, ni fundi mzuri Sana.......
Bei inategemeana na ukubwa wa vyumba,kwa uswahilini kwa chumba cha mita 3 kwa tatu kupiga plasta ndani tu mpaka floor ni sh 45,000 mpaka 60,000 kwa chumbaHabari zenu jamani,napenda kujua gharama za kupiga plasta,nyumba ipo katika mazingira ya kiuswazi,ni nyumba kuukuu inafanyiwa ukarabati tu,Napenda kujua gharama za kupiga chumba kimoja plasta ni kiasi gani na pia kama kuna fundi alishawahi kukufanyia kazi ya plasta unaweza ukani pm tukielewana nimpatie kazi
Wanaita chopping block kama sijakosea maana ni fani watuNa ile ya viupeleupele ndio inaitwaje ....
Nyumba imejengewa na matofali ya blockungesema ukubwa wa vyumba na aina ya tofali zilizotumika ingekuwa rahisi kujua gharama , kwa mfano vyumba vyenye ukubwa sawa vilivyojengwa na tofali za block na nyingine ya matofali ya kuchoma gharama yake ni tofauti,