Msolopagaz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 461
- 212
ni kweli kabisa mkuu mimi nakaa jirani na kenya huku mpakani sirari hivyo muda mwingi natembea ktk maduka yao.simu zina bei ya chini kuliko kwetu.mfano wafanyabiashara wengi wa tarime ; musoma nk wanachukua simu zao kenya na kutuuzia kwa bei juu
tuna kodi kubwa kuliko kenya ila ukienda maduka ya aggrey watu wanaouza simu bila risiti bei ni sawa tu
Tatizo sio kodi bali ni ulimbukenu wa wafanyabiashara wetu.
wanataka profit kubwa sana. tz ndio maana tunapenda simu z mtumba. shop bei mkasi sana
Kenya vitu vingi bei chini, mbona wafanyabiashara wakubwa na wa kati wengi tu hapa Dara China yao ni Nairobi.!!
Mkuu labda Viatu, ila nguo ninauhakika wa 100% kuwa Kenya bei ndogo. Nawafahamu wafanyabiashara wengi tu wanaochukulia mzigo Kenya hasa nguo za kike maana mi mwenyewe ni mdau wa hio fanini vifaa vya electronic tu sababu wanasamehewa kodi ila vitu kama nguo na viatu wanakuja kufungashia tanzania kwao ni bei ghali
Mkuu labda Viatu, ila nguo ninauhakika wa 100% kuwa Kenya bei ndogo. Nawafahamu wafanyabiashara wengi tu wanaochukulia mzigo Kenya hasa nguo za kike maana mi mwenyewe ni mdau wa hio fani