Hivi kwanini serikali inatumia pesa ambazo ni kodi zetu ndivyo sivyo, kulikuwa na haja gani kumchukua Lissu na kumsafirisha mpaka Dar es Salaam kwa pesa ambazo ni kodi zetu, au kwa vile hizo pesa ni kodi zetu na wao hawalipi kodi ndio maana haziwaumi.
Kwanini wasingempigia simu aende mwenyewe kituo cha polisi mpaka wanatumia pesa za walalahoi kumsafirisha toka Dodoma mpaka Dar, hii si ni aina ya ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za taifa na cha kushangaza wamekosa kosa la kumshitaki.