Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,464
- 5,176
Hayo mayai wangeyapata manabii wa Dar, yangeitwa mayai ya upako. Yangepigwa picha na picha moja ya mayai ya upako, picha yenye kukukinga na ajali zote ingeuzwa 1'000'000/Binti mmoja alikuwa anaenda kutalii na marafiki zake kwa gari yao ndogo. Mama yake akamwambia binti yake, "Mungu awe nawe".
Cha ajabu binti akajibu, Kwenye gari Hakuna nafasi. Labda huyo Mungu aingie kwenye buti nyuma ya gari, maana yake hakukuwa na nafasi ndani ya gari isipokuwa kwenye buti. Katika safari yao walipata
ajali mbaya ambapo watu wote waliokuwa ndani ya gari hilo walifariki dunia lakini kwenye buti kulikuwa na Trey ya mayai ikakutwa nzima halikuvunjika yai hata moja. Kumbe ni kweli Mungu alikuwepo kwenye buti.
Huu ujinga sijui nani aliuanzisha, anachezea sana imani za watu.nikikumbuka niliwahi kufowadi meseji kwa watu 10 ili niwe tajiri nachoka sana
Acha kuwa na Akili finyu .Hizi hadithi za kusadikika Zimesha haribu akili zenu.Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!!
Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic [emoji569]️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha
meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli [emoji569] ilizama muda mfupi baadaye.
Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji YESU", siku 3 baadaye alipatikana amekufa.
Binti mmoja alikuwa anaenda kutalii na marafiki zake kwa gari yao ndogo. Mama yake akamwambia binti yake, "Mungu awe nawe".
Cha ajabu binti akajibu, Kwenye gari Hakuna nafasi. Labda huyo Mungu aingie kwenye buti nyuma ya gari, maana yake hakukuwa na nafasi ndani ya gari isipokuwa kwenye buti. Katika safari yao walipata
ajali mbaya ambapo watu wote waliokuwa ndani ya gari hilo walifariki dunia lakini kwenye buti kulikuwa na Trey ya mayai ikakutwa nzima halikuvunjika yai hata moja. Kumbe ni kweli Mungu alikuwepo kwenye buti.
Baba moja alimwambia mwanawe, "Mungu akulinde", mtoto akasema, "rafiki zangu watanilinda kuliko Mungu", alipokuwa akirudi kutoka kazini kwake risasi iliyopotea ilimuua ambapo
marafiki zake walimtazama tu lakini hawakuweza kumlinda.
Mvulana alikwenda kanisani na kukojoa msalabani akisema "hakuna MUNGU", siku iliyofuata alipoteza mikono yake, na kukiri kuunajisi msalaba wa Yesu.
Mwanaume mmoja alipata ujumbe huu na kuufuta akisema ni nini hiki?!! "Mungu hayupo", mtu huyo aliteseka kwa miaka 8 kabla ya kifo,
Mtu mwingine alipata ujumbe huu na kuusambaza kwa watu wengi iwezekanavyo alipandishwa cheo katika kazi yake.
MUNGU hufungua milango ambayo hakuna awezaye kuifunga. Na kama humhitaji MUNGU puuza ujumbe huu na usiueneze............ [emoji17]
Ujumbe unalenga kuzunguka ulimwengu mzima.
Rais wa Argentina aliupokea ujumbe huu na kuupuuza, baada ya siku 8 mtoto wake alikufa.
Mtu mmoja huko Tanga alimdhulumu mtu fedha milioni moja ya shamba. Baba mmoja akamwambia, wewe humjui Mungu. Huyo mtu akajibu, "Mungu, Mungu ni kitu gani? Hakuna Mungu" Baba akamwambia, basi kama humjui utakutana naye njiani. Alipokuwa kwenye safari zake, akakutana na majambazi wakamuua wakachukua fedha laki tatu tu, laki saba zikabaki kwenye mfuko wa bukta ndani ya suruali. Akakutwa ametupwa porini. Watu wakatoa taarifa ikafahamika kwamba ni yule aliyekufuru.
Ujumbe huu ni mtakatifu na wa miujiza.
Shiriki hii neema kwenye vikundi 5 tofauti vya WhatsApp na andika neno "Amen" Kisha subiri katika siku 5 zijazo utapata jambo la kushangaza. Usipuuze!!!
Baraka itakuja kwako kwa namna ya ajabu ikiwa ni nyumba, ndoa, fedha au kazi.
Usiivunje au kuuliza maswali, huu ni mtihani.
😂😂😂😂 mtihaniHuu ujinga sijui nani aliuanzisha, anachezea sana imani za watu.
Ndio maana mtu anatakiwa asome baada ya kuamini, ili asije akafanya mambo ya kijinga akidhani kuwa ni ubada.
Mkuu Mungu yupo na ataendelea kuwepo.Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!!
Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic ⛵️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha
meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli ⛵ ilizama muda mfupi baadaye.
Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji YESU", siku 3 baadaye alipatikana amekufa.
Binti mmoja alikuwa anaenda kutalii na marafiki zake kwa gari yao ndogo. Mama yake akamwambia binti yake, "Mungu awe nawe".
Cha ajabu binti akajibu, Kwenye gari Hakuna nafasi. Labda huyo Mungu aingie kwenye buti nyuma ya gari, maana yake hakukuwa na nafasi ndani ya gari isipokuwa kwenye buti. Katika safari yao walipata
ajali mbaya ambapo watu wote waliokuwa ndani ya gari hilo walifariki dunia lakini kwenye buti kulikuwa na Trey ya mayai ikakutwa nzima halikuvunjika yai hata moja. Kumbe ni kweli Mungu alikuwepo kwenye buti.
Baba moja alimwambia mwanawe, "Mungu akulinde", mtoto akasema, "rafiki zangu watanilinda kuliko Mungu", alipokuwa akirudi kutoka kazini kwake risasi iliyopotea ilimuua ambapo
marafiki zake walimtazama tu lakini hawakuweza kumlinda.
Mvulana alikwenda kanisani na kukojoa msalabani akisema "hakuna MUNGU", siku iliyofuata alipoteza mikono yake, na kukiri kuunajisi msalaba wa Yesu.
Mwanaume mmoja alipata ujumbe huu na kuufuta akisema ni nini hiki?!! "Mungu hayupo", mtu huyo aliteseka kwa miaka 8 kabla ya kifo,
Mtu mwingine alipata ujumbe huu na kuusambaza kwa watu wengi iwezekanavyo alipandishwa cheo katika kazi yake.
MUNGU hufungua milango ambayo hakuna awezaye kuifunga. Na kama humhitaji MUNGU puuza ujumbe huu na usiueneze............ 😔
Ujumbe unalenga kuzunguka ulimwengu mzima.
Rais wa Argentina aliupokea ujumbe huu na kuupuuza, baada ya siku 8 mtoto wake alikufa.
Mtu mmoja huko Tanga alimdhulumu mtu fedha milioni moja ya shamba. Baba mmoja akamwambia, wewe humjui Mungu. Huyo mtu akajibu, "Mungu, Mungu ni kitu gani? Hakuna Mungu" Baba akamwambia, basi kama humjui utakutana naye njiani. Alipokuwa kwenye safari zake, akakutana na majambazi wakamuua wakachukua fedha laki tatu tu, laki saba zikabaki kwenye mfuko wa bukta ndani ya suruali. Akakutwa ametupwa porini. Watu wakatoa taarifa ikafahamika kwamba ni yule aliyekufuru.
Ujumbe huu ni mtakatifu na wa miujiza.
Shiriki hii neema kwenye vikundi 5 tofauti vya WhatsApp na andika neno "Amen" Kisha subiri katika siku 5 zijazo utapata jambo la kushangaza. Usipuuze!!!
Baraka itakuja kwako kwa namna ya ajabu ikiwa ni nyumba, ndoa, fedha au kazi.
Usiivunje au kuuliza maswali, huu ni mtihani.
Sipendi imani ya kutishana.Kwa hiyo hao majambazi waliomuua mtu ndio Mungu?hivi uko serious kweli mleta Uzi?
Nadhani ni zamani, niliiona mara ya kwanza 2005 nilitumiwa kwenye e mail yangu ya www.mail.raha.comTangu mwaka 2017 mmekuwa mkikopi na kupaste hii chai
Mungu tayar alishabariki dunia sasa sjui wanataka baraka zipi tenaAcha kuwa na Akili finyu .Hizi hadithi za kusadikika Zimesha haribu akili zenu.
Mnakuwa kama mazwazwa, Huu ulimbukeni wa kufowadi jumbe ili Mungu akubariki ni ujinga na mawazo mgando..
God is not Conditioned.Mungu hapangiwi masharti ya kumbariki au kumlaani mtu..
Hizi Fiction stories zenu ni sawa na hekaya za abunuwasi...
Amka wewe! Tafuta hela! Mungu wa miujiza hayupo, fanya kazi.