Gharama za kukodi mnara

Gharama za kukodi mnara

Joined
Mar 8, 2021
Posts
6
Reaction score
12
Habari zenu,

Kuna technology mpya ambayo niko kwenye process za kuikamilisha ila ninahitaji kufunga antenna juu ya mnara ili system iwe katika efficiency kubwa.

Naomba kwa anayefahamu bei za kufunga antenna zikoje.. Kwa mfano Tigo wakitaka kufunga antenna kwenye mnara wa airtel ni kiasi gani?
 
Minara mingi inamilimiwa na Helios Towers Tanzania. Watafute hao watakupa taarifa sahihi.
 
Habari zenu,

Kuna technology mpya ambayo niko kwenye process za kuikamilisha ila ninahitaji kufunga antenna juu ya mnara ili system iwe katika efficiency kubwa.

Naomba kwa anayefahamu bei za kufunga antenna zikoje.. Kwa mfano Tigo wakitaka kufunga antenna kwenye mnara wa airtel ni kiasi gani?
Waone HTT
 
Back
Top Bottom