kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,054
- 170
Kwani wewe budget yako ikoje?.
Kuna harusi ya 3m, 5 m, 8m, 10m, 20m, 30m, 40m, 50m.
In which category do you fall?
Itasaidia sana kukupa ushauri, ili usije pewa ushauri ya 3m wakati budget yako ni 30m.
Just thinking aloud....
Habari za jioni wanajamvi.
Mimi ni kijana wa makamo na nimedhamiria kuchukua 'jiko' yaani mke mwakani.kwa wale wenye majiko au wazoefu wa kamati za harusi naomba msaada wenu katika hili.
Ukizingatia mimi ni mtumishi wa umma mwenye kipato cha wastani ningependa kujua ni kiasi gani cha fedha(makadirio) ninahitaji kuwa nacho mimi kama mimi kabla sijaenda kujitambulisha ukweni?
Naomba tuelezane kuhusu gharama za ukumbi,vyakula,vinywaji,mavazi ya maharusi,usafiri,mc,n.k
ningependa harusi ifanyikie mjini arusha lakini kama kuna sehemu ambayo gharama zake ni cheaper naweze kuangalia uwezekano wa kufanyia huko.
N.B ndoa itakua ya kikristu.
Naamini michango yenu itasaidia wadau wengi walioko kwenye mchakato wa kufunga ndoa.
Kuna Kijiji kimoja kule Singida kinaitwa Kintinku! Kule hata laki moja unafunga harusi, vinywaji ni togwa na pombe za kiasili. Chakula ni rahisi pia vya kiasili, unaondoka na mkeo. Hongera kwa kuikimbia kambi ya makapela
Kama unataka ya kifahari kwamba wanakamati wakuchangie kuanzia 100,000/= hivi basi wewe hakikisha unayao at least 5,000,000/= na siku ya kuwaita hao jamaa angalau "upoteze" 300,000/= hadi 500,000/= kuwakirimu!! Kumbi nzuri ni kuanzia 1,000,000/= na kuendelea na mara nyingi ni gharama yako..

Fuata taratibu za kwa unayetaka kumuoa ukikamilisha kulipa zile gharama zao wanaita sijui bride price... harusi hata laki tano unafanya inadepend tu unataka kuiweka namna gani...ushaambiwa kuna harusi za 3m, up 2 150m watu wanapiga sherehe...
kama hauko vizuri ichakachue iwe ya kichina nenda kaanze kusaka pesa na mkeo...usijali watasema ooh! sherehe ilikuwa mbaya sijui nn the most important is that u have your wife......halafu experience gani unayotaka hapa sasa maana kama ni ndoa ya kikristu ni mke mmoja na mie naamini ili uwe na experience lazima uwe umefanya hicho ki2 kwa zaidi ya mara mbili tatu hivi sasa hiyo experience tutaitoa wapi? mie nilioa mara moja tu so sina experience..
Son How much does it cost to get married dad?
Father I dont know, Im still paying for it.
All the best...
Mkuu kwanza hongera sana kwa hatua hiyo! Suala la kujitambulisha ukweni inategemea unaoa mtu wa kabila gani na ni kwa kiasi gani wanazingatia mambo ya mila zao katika zoezi hilo. Kwa mfano ikiwa ni mmasai utatakiwa kwenda na kitu wanaita mbavu na mwaka jaza kuna rafiki yangu alinunua hizo mbavu kwa laki tatu na nusu, na gharama zingine alitumia fedha mkuu, na kama ni uchagani pia unatakiwa kuandaa mshiko wa kutosha zaidi manake kuna suala zima la mbege na engagement costs!!!!. Kiasi cha kutumia kwa harusi inategemea sura ya harusi unayotaka mwenyewe ila ni vema uandae mshiko wa kutosha baba. All in all hakuna fedha zinazolingana na thamani ya kujenga familia ndugu yangu so take a step and u will get experience in the long run.Habari za jioni wanajamvi.
Mimi ni kijana wa makamo na nimedhamiria kuchukua 'jiko' yaani mke mwakani.kwa wale wenye majiko au wazoefu wa kamati za harusi naomba msaada wenu katika hili.
Ukizingatia mimi ni mtumishi wa umma mwenye kipato cha wastani ningependa kujua ni kiasi gani cha fedha(makadirio) ninahitaji kuwa nacho mimi kama mimi kabla sijaenda kujitambulisha ukweni?
Naomba tuelezane kuhusu gharama za ukumbi,vyakula,vinywaji,mavazi ya maharusi,usafiri,mc,n.k
ningependa harusi ifanyikie mjini arusha lakini kama kuna sehemu ambayo gharama zake ni cheaper naweze kuangalia uwezekano wa kufanyia huko.
N.B ndoa itakua ya kikristu.
Naamini michango yenu itasaidia wadau wengi walioko kwenye mchakato wa kufunga ndoa.
1) Ukumbi ni darasa au hall la kanisa. 2) Vinywaji ni maji ya Uhai madogo na soda (hakuna hard drinks). 3) chakula kinapikwa na wanakamati hakuna catering, gari la maharusi linatolewa na wasamalia wema, e.t.c
Habari za jioni wanajamvi.
Mimi ni kijana wa makamo na nimedhamiria kuchukua 'jiko' yaani mke mwakani.kwa wale wenye majiko au wazoefu wa kamati za harusi naomba msaada wenu katika hili.
Ukizingatia mimi ni mtumishi wa umma mwenye kipato cha wastani ningependa kujua ni kiasi gani cha fedha(makadirio) ninahitaji kuwa nacho mimi kama mimi kabla sijaenda kujitambulisha ukweni?
Naomba tuelezane kuhusu gharama za ukumbi,vyakula,vinywaji,mavazi ya maharusi,usafiri,mc,n.k
ningepe
<br />Kuna Kijiji kimoja kule Singida kinaitwa <font color="red">Kintinku</font>! Kule hata laki moja unafunga harusi, vinywaji ni togwa na pombe za kiasili. Chakula ni rahisi pia vya kiasili, unaondoka na mkeo. Hongera kwa kuikimbia kambi ya makapela
ni muhimu!ili ujue wakwe watachukua bei ganiMkuu unataka kujua gharama kabla ya kupata confirmation ukweni?
bachela mi napunguza gharama za hiyo harusi kwa kukutolea bonge la single,:A S 103::dance:"aiyaiyaa kuolewa utarudi nyumbani kutembea..kwaheri ndugu zangu kuonana majaliwa... aiya iyaaa kuolewa tarudinyumbani kutembea.......:A S 103::dance: