Dah
Nimekumbuka kuna jmaaa yangu alibadilisha rangi bila Polisi kujua ssa akaja kupata ajali kwenye Kadi rangi ingine na gari rangi ingine mbona aliliacha gari
Nenda kwa traffic police(Vehicle) anakupa vehicle inspection report then unaenda nayo TRA(Wakati huo rangi inaendelea kupigwa) TRA watakubadilishia na kukupa kadi mpya yenye rangi uliomba kubadilisha.