Mbona kichekesho?? Au ndio gharama za Demokrasia? Hizo wanazidi kuwasaidia hao wanafunzi na wagonjwa wanaohitaji elimu ama?
Nimekutana na hili katika BBC. It is worth being posted.
Chiluba trial 'cost Zambia $13m'
Ex-President Chiluba has recently been in poor health
Zambian President Rupia Banda has said the government spent $13m (£7.8m)prosecuting President Frederick Chiluba.
The former president was accused of embezzling $500,000 of public funds.
Speaking at a rally, President Banda said the money would have been far better spent on schools, medicines and hospitals.
Mr Chiluba, who has famously extravagant tastes, was acquitted of the charges in August.
In a separate case in 2007, London's High Court ruled that Mr Chiluba had defrauded the Zambian government of more than $40m using UK-based bank accounts.
Kwa hili mwacheni Mkapa apumzike kwa amani, kwani kwa waendesha mashtaka wetu ni yale yale ya kina Nzombe, Chiluba na Liyumba ya kutokuandaa kesi vizuri hatimae hayo ndo yanatokea na hapo hajadai fidia ya kuchafuliwa jina na mengineyo.
Gharama za demokrasia. Rais analalamika kwa kuwa wlaishindwa tu kesi lakini kama wangeshinda ingekuwa ni fundisho na kungekuwa na value for money. Hata katika hali hii bado kuna value for money nadhani. Jambo la kujifunza ni kuandaa kesi vizuri na sio kukurupuka ili kupata faida za muda mfupi za kisiasa.
Mhe.Zitto,Gharama za demokrasia. Rais analalamika kwa kuwa wlaishindwa tu kesi lakini kama wangeshinda ingekuwa ni fundisho na kungekuwa na value for money. Hata katika hali hii bado kuna value for money nadhani. Jambo la kujifunza ni kuandaa kesi vizuri na sio kukurupuka ili kupata faida za muda mfupi za kisiasa.