Gharama za data, airtel, halotel, smart, tigo & voda

Voda niliacha kutumia Voda kwa magumashi yao nikahamia airtel na tigo data airtel wanatisha pamoja na halotel hazisumbui lakini tigo kwa hapa dar data sijawahi ona speed hata kidogo
 
Mkuu hebu punguza maneno kidogo... Tiririka hiyo universty offer ya voda.
 
Pamoja kwamba nimerudi voda baada ya sim yangu ndogo kuzingua. Nawakumbuka hallotel wako vizuri kinouma
 
tigo ni waizi sijawai ona......halotel ndo mpango kwasasa kabla nawao hawajaanza kulewa sifa.........
najua halotel ni mbwembwe za biashara,.mwanzoni baadae wakiona watu wamejaa...wanaanza kubana..so its better kuwanyonya sahv chalii
 
Hata kama ukinunua dabo bundle ya 95k utapata 60GB wakati halotel una 71.6GB nahisi hawa voda na tigo wanajivunia wingi wa subscribers ila halotel wana speed nzuri na vile vile affordable .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…