tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,139
@Matola, tumia ile ile njia ya zamani yaani tuma neno INTERNET kwenda 15444, utapata 400MB kwa sh 2,500.
Mimi nimerecharge jana tu na hakuna matatizo yo yote.
400MB unazopewa inatakiwa uzitumie si zaidi ya mwezi mmoja yaani MB zitakazobaki baada ya kupita mwezi mmoja zitafutwa.vipi bado inakaa mwezi mzima? Miye nilinunua wiki jana then jana naambiwa eti ime expire...sijawaelewa.
Upo sahihi mwenyewe nimejiunga kwa njia hii sasa hivi imekubali 400 mb kwa sh 2500. Lakini ukienda kwa *154*44# garama zake ni kub
wa kama wengine walivyosema
Mbona usiku internet airtel ni bure? We chakachua modem yako uende kwenye mitandao mingine but am telling u lazima urudi airtel. Mi mwenyewe nilikuwa nimeihama kwa ajili ya spidi lakini sasa hivi nimerudi coz voda inazingua na airtel imekuwa mwake, one touch, kitu kinatik.duuh! Vipi zile 200MB za usiku waliacha kuzitoa, coz najiunga nazo lkn kila nikifanya connectn inagoma? I wish nichakachue modem yangu ili nipate huduma kutoka mitandao mingine! AIRTEL wanatufanyia vibaya.
Tatizo Watanzania kusema ukweli kwao ni sumu, Airtel kuna tatizo kubwa la mtandao wao ila hawataki kusema, mimi nilishaweka hiyo 2500 nikaliwa na ikaniambia sina salio la kutosha, then nikatoa line kwenye modem nikaiweka kwenye simu halafu nikanunua vocha nyingine ndio ikakubali na mpaka dakika hii nikituma msg ya kuangalia balance inafeli kwahiyo natumia Internet kwa kukisia tu itakapobuma ndio hapo hapo.Ndugu zangu, mi sifahamu rabda kila simu ina utaratibu wake, maana huyu aliyeandika kuwa ametuma internet kwenda no. 15444 akapewa mb400 sijui amefanyaje? mimi tangu juzi tar.14 hata dakika chache zilizo pita nimejaribu nikaambiwa sina salio la kutosha kujiunga na internet wakati limo salio la 2500/= kweli sisi wenye kipato cha chini tutaumia hasa kama mimi mwanafunzi ambaye hata vitabu vingine lazima nitegemee internet.
Nyie mnaenda *154*44# kutafuta nini? Andika internet kwenda 15444 na utapata 400mb! Mi naitumia na leo ni siku ya pili tangu nijiunge. Acheni uzushi!
Ongeza jero afu ujiunge.Hii ni mala ya 5 natumia simu yangu kujiunga na hiyo ya 400mb kwa tsh2500 lakini imegoma naambiwa ongeza salio na jaribu tena. salio langu bado ni 2500/= sasa hiyo mnayoisema inakuwaje kwangu haiwezekani!!!
Ndugu zangu, mi sifahamu rabda kila simu ina utaratibu wake, maana huyu aliyeandika kuwa ametuma internet kwenda no. 15444 akapewa mb400 sijui amefanyaje? mimi tangu juzi tar.14 hata dakika chache zilizo pita nimejaribu nikaambiwa sina salio la kutosha kujiunga na internet wakati limo salio la 2500/= kweli sisi wenye kipato cha chini tutaumia hasa kama mimi mwanafunzi ambaye hata vitabu vingine lazima nitegemee internet.
@Matola, tumia ile ile njia ya zamani yaani tuma neno INTERNET kwenda 15444, utapata 400MB kwa sh 2,500.
Mimi nimerecharge jana tu na hakuna matatizo yo yote.
Sio kweli, mi juzi nimenunua mb 400 kwa sh 2500. Andika internet kwenda 15444.
Hata wewe mkurugenzi unatumia Bundle hii!!!!