Gharama ya materials na ufundi wa PVC ceiling board.

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,073
Reaction score
1,576
Wakuu,
Naulizia gharama ya PVC board za dari nje ya nyumba.
  • Zinauzwa sh. ngapi?
  • Kwa nyumba za vyumba vitatu, sebule, jiko, dinning room & vyoo viwili, gharama ya ufundi ni Sh. ngapi?

Msaada ili tuvuke hiyo hatua wakuu.
 
Mpaka unajenga jengo kufika hatua hio duka la vifaa vya ujenzi utakuwa una lifahamu, sehemu sahihi ya kupata bei ya bidhaa ni dukani.

Hata hivyo pvs pic 1 ni kati ya 8,000 hadi 10,000.
Garama za ufundi ni walao asilimia 25 hadi 30 ya garama za material.
 
Ahsante sana mkuu.
 
Hapana vile pvc ni 2500 mkuu
 
Pvc ni Tsh 22000 (inategemea ubora wa pvc na duka lipo wapi?)

Ufundi ni 150k
 
Mpaka unajenga jengo kufika hatua hio duka la vifaa vya ujenzi utakuwa una lifahamu, sehemu sahihi ya kupata bei ya bidhaa ni dukani.

Hata hivyo pvs pic 1 ni kati ya 8,000 hadi 10,000.
Garama za ufundi ni walao asilimia 25 hadi 30 ya garama za material.
Achana na asilimia za material pesa ya ufundi ni mapatano
 
Wakuu,
Naulizia gharama ya PVC board za dari nje ya nyumba.
  • Zinauzwa sh. ngapi?
  • Kwa nyumba za vyumba vitatu, sebule, jiko, dinning room & vyoo viwili, gharama ya ufundi ni Sh. ngapi?

Msaada ili tuvuke hiyo hatua wakuu.
NDUGU YANGU UMESHINDWA KWENDA HARDWARE KUULIZA BEI YA pvc?
 
Back
Top Bottom