Gharama ya Mabango ya Rais Samia, Unajenga kituo cha afya

we una uwezo wa kuzunguka mikoa yote? Acha wivu na chuki za kike. Mamako amechangishwa chochote? Unajihangaisha na mambo usiyoyaweza kahangaikie hayo maisha yako magumu.
Ni kodi za wananchi zinatumika mbona una majibu mepesi sana ndugu. Huez kufikiria mambo madogo kama aya? Wew huna msaaada kwa taifa lako.
 
Watu wameshapiga pesa za mabango hapo
 
Acha atoe Mabango yatawale regarless ... nchi Uchumi unakua/ elimu Bure/ vituo vya afya kila konA/ Ajira zinatokA sasa/ Maridhiano ( Good governance)/ ushawishi kwa Wahisani.. Donor countries..
 
Acha atoe Mabango yatawale regarless ... nchi Uchumi unakua/ elimu Bure/ vituo vya afya kila konA/ Ajira zinatokA sasa/ Maridhiano ( Good governance)/ ushawishi kwa Wahisani.. Donor countries..
Nionyeshe vituo hata 3 alivyo jenga mama..

Ameweka tozo kwenye mobile money tozo zote wamekwapua wahuni..

Mwaka 2021/2022 ametenga tr 1.5 za barabara zote zomekwapuliwa na wahuni

Mama hii kazi imemzidi kimo.. tumuombee tuu atufikishe 2025 kiasha arudi akalee wajukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…