Gharama ya Mabango ya Rais Samia, Unajenga kituo cha afya

Inasikitisha sana.
Hata Mwendazake pamoja na kupenda sana kuabudiwa lkn hakufikia ujinga huu
 
Watu wamekosa matangazo wameona wayaweke hayo yakae tu
 
Moja kati ya kosa la kimkakati la mama ni kuonyesha nia ya kugombea 2025!!

Kitu gani hajui huyu!!?

Ccm humweka wanaye mtaka sasa si angesubiri wake waamue hatma yake!!!? kwani jua mwenyekiti nintiketi ya kua mgombea!!?

Angepiga kazi tu mengine yawe majaaliwa ya mola tu!

Mungu ibariki Tanzania e yetu!!
 
Kuna wajinga walimwingiza siko
 
we una uwezo wa kuzunguka mikoa yote? Acha wivu na chuki za kike. Mamako amechangishwa chochote? Unajihangaisha na mambo usiyoyaweza kahangaikie hayo maisha yako magumu.
 
Na yale ya hapa kazi tu, mara mzalendo, mara Rais wa wanyonge, mara ni msikivu! Yale unajenga uwanja wa ndege kbs!!
 
we una uwezo wa kuzunguka mikoa yote? Acha wivu na chuki za kike. Mamako amechangishwa chochote? Unajihangaisha na mambo usiyoyaweza kahangaikie hayo maisha yako magumu.
Tanzania ina mikoa mingapi boss mtu ushindwe kuzunguka?
 
Kwa ukubwa wa Yale mabango moja sio chini ya 15 m.
 
WAJANJA WANAOYAANDAA HAYO MABANGO WANAPIGA PESA KISAWA SAWA TANZANIA SHAMBA LA BIBI NIKUPIGA PESA KAMA KICHAA
 
Viongozi inabidi wajue tz dio familia kutaka kuongoza mpaka ufe
 
Naona hata nae saa nyingine akipita akiyasoma anabaki "anashanga". Maana anajua fika yanayosemwa hayapo. Ni janja tu ya watu waendelee kumghilibu ili wapige hela.

Kitengo cha watu hicho cha kupiga hela. Hadi mama amalize watakuwa matirionea. Na wanafanya kila pointi na kila mkoa. Hawaruki space.
 
Kwa kweli ukisoma haya mabango utadhani anaye zungumzwa kwenye mabangi ni Rais wa Sweden, Kumbe hapa hapa bongo..[emoji23][emoji4]
 
Inatumika nguvu kubwa kumnadi wakati huohuo inatumika nguvu kubwa kupita kiasi kumdis hayati Magufuli,hapo chacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…