Gharama ya kukodi bulldozer

Lazima ibebwe na loadbed hapo kna gharama yakuibeba kuipeleka site na kuna gharama ya kuirudisha site na gharama zote ni juu yake
Hapo ana gharama kumlipa OP,gharama ya mafuta pia juu yake

Ova
Ok
 
Ndani ya lisaa lina uwezo wa kusafisha hekari ngapi
 
Wana Jamvi

Nawatakia furaha ya kudumu katika maisha yenu.

Naomba kujua bei ya kukodi Buldozer kwa ajili ya kusafishiwa eneo langu....na kwa siku lina kula mafuta(Diesel)kiasi gani?!

Shukran sana

Mbarikiwe
Ninayo
D 4
Komatsu
+255714908121
450000 per Day
Mafuta na Operator juu yako
Tupo Makumbusho Dar es salaam
Karibu sana



 
Mashine nyingi hufanya kazi masaa 8 kwa siku
100,000×8
Hapo labda useme naye vzr mwenye mashine akupunfuzie masaa
Gharama ya disel,OP,ubebaji kulitudisha juu yako

Ova
Hivi mrangi vipi una idea biashara ya kukodisha vitu kama Vijiko, backhoe loader, excavators nk ikoje? Inalipa sehemu kama Dar? Kuna ushindani sana? Mshana Jr saidia na wewe kama unajua please!



 
Hivi mrangi vipi una idea biashara ya kukodisha vitu kama Vijiko, backhoe loader, excavators nk ikoje? Inalipa sehemu kama Dar? Kuna ushindani sana?

View attachment 1869072

View attachment 1869071
Nna na idea na kwa morogoro
Maana kna harakati fulani nawakodi
Jamaa na kna wakati ukiwakodi utakuta
Mashine zishabukiwa
Biashara hii inawalipa sana,sema umakini tu kwenye usimamizi na utunzaji wa mashine
Hata kwa dar pia,miradi mingi inayofanyika wnakodi mashine mbali mbali

Ova
 
Asante sana mkuu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…