Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,022
Unapatikana wapi?Zipo mashine znakula disel lita 180 mpaka 200
Kwa masaa 8
Ova
Wanapatikana wapi ?1,gharama kwa saa wengi wao wanatoza 100,000/- kwa saa moja, hivyo itategemea kwa siku limefanyakazi kwa masaa mangapi.
2, diesel kwa wastan ni lita 160-200 kwa masaa nane lakini pia itategemea ugumu wa hiyo kazi na ulaji wa mafuta wa chombo chenyewe au dereva
3, operator utamlipa 50k kwa wastani kwa siku/saa 8
4,gharama za kulichukua na kulirudisha ni zako hivyo mtaelewana na mwenye chombo/kampuni na inategemea na mahala unapolitoa na kulipeleka.
Kibaha hiyo siyoUnapatikana wapi?
Na
Mm nipo Kijiji cha Msua mbele ya Kwala
Vigwaza hiyo karibu na bandari kavuKibaha hiyo siyo
Ova
Kwa point yako ya kibahaWanapatikana wapi ?
Tatizo ni WaturukiUngesibiria wakati wanatengeza barabara hapo kijijini kama huwa wanatengeza, unaongea na dereva unampa kiasi kisichozidi 400k anakupigia kazi vizuri tu.
Ndani kutakuwa na Udalali Chief.....Mil2/day
Haaaaaa mambo ya chajuuNdani kutakuwa na Udalali Chief.....
Sasa mwenyewe mbona hana gharama yoyote?? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Na unalisafirishaje kwenda saiti?? Naomba kuuliza yanapatikana wapi Morogoro!!1,Gharama kwa saa wengi wao wanatoza 100,000/- kwa saa moja, hivyo itategemea kwa siku limefanyakazi kwa masaa mangapi.
2, Diesel kwa wastan ni lita 160-200 kwa masaa nane lakini pia itategemea ugumu wa hiyo kazi na ulaji wa mafuta wa chombo chenyewe au dereva
3, Operator utamlipa 50k kwa wastani kwa siku/saa 8
4,Gharama za kulichukua na kulirudisha ni zako hivyo mtaelewana na mwenye chombo/kampuni na inategemea na mahala unapolitoa na kulipeleka.
mkuu inategemea na eneo jinsi lilivyo au kutokana na uchafu uliopo,Kwa masaa 8.... Wanapiga eka ngani maximum?
inawezekana ikawa hivyo ndugu, piga hesabu ya laki moja ya chombo kwa saa, jumlisha na lita za diesel itakayotumia,jumlisha na hela ya operator...mi nakumbuka nilikuwa natumia milion moja na laki nane na elf 65 kwa siku.Ndani kutakuwa na Udalali Chief.....
1,gharama ya mwenye chombo ni laki kwa saa,Sasa mwenyewe mbona hana gharama yoyote?? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Na unalisafirishaje kwenda saiti?? Naomba kuuliza yanapatikana wapi Morogoro!!