Gharama ya joho la vyuo vikuu Tanzania iko juu sana

Gharama ya joho la vyuo vikuu Tanzania iko juu sana

Linafuliwa na mashine afu kuna watumishi wanaoyatunza hiyo ndio mishahara yao.
mbona mengine yananukaga uvundo, sema hata kama ni mishahara lakini ini too much
 
Kama hakuna sababu yoyote kwakweli haina haja... sema tu kuna ule ukumbush
Mkuu mimi cheti changu kinatosha kuwa ukumbusho. Hizi ceremony mi naona kama makelele tu na kugharamika pasipolazimika. Usawa wenyewe wa Magu Shilingi 50 huwezi kusamehe dukani ukatoe buku 50 kwa joho ukae nalo wiki ujifotoe tu. Ila hii ni business opportunity aisee.... mhhhh
 
HAHAHAHAHAHAAHHAHAHAHAH kwakweli
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Gharama za majoho vyuo vikuu ziko juu sana, kila mtu anahitajika kutoa Tsh 50000/= kwa ajili ya joho moja na hilo joho unakaa nalo week moja tu unalirudisha na hawakupi chochote zaidi ya joho ambacho kina thamani hata ya 50,000/=. Ukizingatia chuo wanamaliza takribani wanafunzi 1000 na zaidi.

Sasa hio elfu 50 huwaga ni ya kazi gani wakati joho hulinunui ni mali ya chuo kikuu na ni haki ya kila aliehitimu level inayostahili avae kwanini gharama zisipungue kidogo hata kwa asilimia 50 au mnalionaje hili ndugu wasomi/wanaosomesha ni haki kweli?
Sometimes Expensive Ya Kitu Inakifanya Kiwe Respectively Na Jamii
 
Siyo lazima kuhudhuria siku ya maafari (kuvaa joo), kwa vyuo vya serikali
Kwa private sijui
 
Chaa.. hizi taasisi zimezidi sasa
Mimi nimelipa 80k yaan ninahasira balaa a halafu wanalazimisha ulipe semister ya kwanza Tena na penalty ukichelewa halafu wanajifanya chuo cha Dini uhun tuu sio certificate, diploma, degree, Masters wote bei ni moja,
 
Mkuu chuo gani upo?
Langu nina miaka minne sasa sijarudisha hua nawapa wanangu wao wanasave hela zao maana as long as jina lako liko kwenye kitabu na umevaa joho none will bother u

Huku kwetu hawati vyeti bila clearance
 
Back
Top Bottom