Gharama ya joho la vyuo vikuu Tanzania iko juu sana

Gharama ya joho la vyuo vikuu Tanzania iko juu sana

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
3,320
Reaction score
5,749
Habari zenu wana JamiiForums,

Gharama za majoho vyuo vikuu ziko juu sana, kila mtu anahitajika kutoa Tsh 50000/= kwa ajili ya joho moja na hilo joho unakaa nalo week moja tu unalirudisha na hawakupi chochote zaidi ya joho ambacho kina thamani hata ya 50,000/=. Ukizingatia chuo wanamaliza takribani wanafunzi 1000 na zaidi.

Sasa hio elfu 50 huwaga ni ya kazi gani wakati joho hulinunui ni mali ya chuo kikuu na ni haki ya kila aliehitimu level inayostahili avae kwanini gharama zisipungue kidogo hata kwa asilimia 50 au mnalionaje hili ndugu wasomi/wanaosomesha ni haki kweli?
 
kawaida tu mbona! kwanza ukiangalia misukosuko ya shule, ada, room, stationery, halafu siku ya joho uumie na kafifite tuu!
toa bwana kiroho safi
 
Mkuu chuo gani upo?
Langu nina miaka minne sasa sijarudisha hua nawapa wanangu wao wanasave hela zao maana as long as jina lako liko kwenye kitabu na umevaa joho none will bother u
 
Ndo mana sikutaka kupoteza hela kwa kukodi joho.... ata graduation ceremony sikuhudhuria..... sijaona umuhimu wowote....
Kama hakuna sababu yoyote kwakweli haina haja... sema tu kuna ule ukumbush
Mkuu chuo gani upo?
Langu nina miaka minne sasa sijarudisha hua nawapa wanangu wao wanasave hela zao maana as long as jina lako liko kwenye kitabu na umevaa joho none will bother u
IfM
 
Ndo mana sikutaka kupoteza hela kwa kukodi joho.... ata graduation ceremony sikuhudhuria..... sijaona umuhimu wowote....
Huko kama Mimi sikuhudhuria ya undergraduate ila ya masters nitahuduria fasta
 
Linafuliwa na mashine afu kuna watumishi wanaoyatunza hiyo ndio mishahara yao.
 
Back
Top Bottom