TheImporter
Member
- Oct 13, 2011
- 23
- 2
Wadau, naomba kujua makadilio ya gharama ya fundi kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 4, kiwanja kina mtelemko kidogo.
Thanks
Thanks
laki nne
You are not serious!!laki nne
Precisely mkuu!Jamani vitu vya professional wapeni wenye professional zao wakupe ushauri. Hapo kuna mambo mengi ya kuangalia kwanza physical kabla hujaanza jenga na si kweli gharama zinafanana maana hata ramani zavyumba vinne haziwezi fanana pia na ni pamojana nature ya uwanja wako. Tafuta Engineer akushauri maana unaweza rushiana ngumi na fundi bure kumbe tatizo nilako