BatteryLow
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 446
- 149
Kama hiyo nyumba uliijenga ukiwa na miaka 40 umeme utaingia ndani ukiwa na miaka 64 au tayari usha kufa..!bure?!!...utasubiri miaka nane mpaka wasimamishe nguzo kwako na nane mingine kufungiwa nyaya, nane mingine kufunga mita!