Ndo matatizo ya kusoma kila unachoandikiwa bila kukifanyia utafiti kidogo.
Siku hizi kuna ma software ya kubaini plagiarism. Ni kiasi cha ku copy na ku paste na ku click tu, basi.
Sasa yeye hata hilo alishindwa kufanya?
Jinga kabisa.
Ni sawa huyu kaonyesha uthaifu sana aisee.......Apparently the Director of Communication cut and paste word to word from President George Bush's inauguration speech.
Si kweli,hakuna makosa yeyote ktk ile hotuba na tunatakiwa kujifunza na kosoma kabla ya kusema jambo,
Tujaribu kufuatilia na kusoma Law of Copyright inasemaje,kisheria ktk ile hotuba hakuna kosa lolote lile