Ghalama za vibali uhamiaji zinatuumiza wazawa

Ghalama za vibali uhamiaji zinatuumiza wazawa

Pandamlima

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
143
Reaction score
13
Wadau Mimi ni kijana mtanzania nilioa nje ya nchi ..sasa naishi Tanzania lakini ghalama ya kupata kibali cha kuishi Mke wangu hapa Tanzania ni juu sana..hata ghalama za kupata uraia Kwa wake zetu Sisi tuliooa nje ni juu sana.
Naomba kama kuna wazalendo wengine wenye kilio kama changu tupaane ushauri

Lakini Mimi naomba serikali yetu iliangalie hili..hizo dola za vibali zipo juu sana..tunaumia jamani

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom