M millers JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 257 Reaction score 34 Dec 16, 2015 #1 Nauliza ghalama ya kubadili plate number ya gari
kijumbamshale JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 267 Reaction score 88 Dec 18, 2015 #2 Kubadili vipi labda hujaeleweka, kama ni kuweka private number eg Kijumbamshale nasikia ni 5M kwa mwaka ila sina uhakika unaweza check na ofisi za tra zilizo karibu nawe
Kubadili vipi labda hujaeleweka, kama ni kuweka private number eg Kijumbamshale nasikia ni 5M kwa mwaka ila sina uhakika unaweza check na ofisi za tra zilizo karibu nawe