kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
kaenda kuwarekebisha kijiji cha jirani akimaliza atarudi
Rubbish
gfsonwin vijana wanakuambia uwe unaaga maana michango yako ina umuhimu sana humu jamvini. kapistrano nimeshamwambia tayarikumbe mimi nirikuwa sijui mbambie awe anaaga basi!
gfsonwin vijana wanakuambia uwe unaaga maana michango yako ina umuhimu sana humu jamvini. kapistrano nimeshamwambia tayari
Hhahahaha kashaipata tayari umetumia EMS nini?
kama member wa CHI-CHAT.Unamtafuta kama nani?
DHL kweli hii kampuni kubwa sn!nimemtumia kwa DHL
Sikutegemea kama unaweza kutoa neno kama hilo ubarikiwe sana!
kapistrano ! Recognize you're matured enough! Nilidhani ungemfukuza chizi mkwapuzi wa nguo unaoga!