Hahaha. Geuza Ulale huwa ana obsession na Kenya ingine deep sana. Hata Wakenya hawapendi nchi yao kama vile Geuza anavyoipenda. Tutakupea citizenship, apply kwa ministry of immigration.
Wakenya wanapenda kuwa na jamii kama ya tz . Lakini wanashindwa wapi pa kuanzia. Kuna makosa anaweza kufanya baba ikawakost hata kizazi cha kumi cha familia yake.