Mkuu sijaanza kutumia wala ku unlock iphone leo. Nimeanza kutumia iphone toka mwka 2012 ndiyo maana najua zinakuwa unlocked wapi ni nani ni scammers na ni nani si scammers maana nimeiunlock simu zaidi ya 8.
Gevey nimeitumia kwenye iphone 5s na iphone 6plain ina weaknesses zake walau zilikuwa zinaweza kuwa fixed kirahs wakati bado ios ilikuwa easily jailbroken ukaweka repos