Geuza simu yako kuwa na muonekano wa computer

Geuza simu yako kuwa na muonekano wa computer

Brother nimeikubali Mkuu simu yangu niyakawaida ttu ila marafiki zangu wameshangaa. Sana wameona inahadhi
 
Sasa mkuu launcher nayo ni ya kuanzisha thread humu jf, playstore kuna launcher ngapi? Kila launcher ukianzisha thread si itakuwa kazi.

Labda mada ingekuwa na uzito kama angeongelea jinsi ya kutumia simulator kufanya simu iwe na window ya computer.
Naomba nielekeze mkuu
 
Back
Top Bottom