Psiteshio72
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 634
- 442
Hi ni kwa wale wapenda mionekano mikali ya simu.
Pia huu mfumo ni mgumu saana hata kwa mtumiaji tofaut na wewe atashangaa na kubaki kuzubaa..
Huna haja ya kuhide apps au ku lock kwa password ukihofia mpenz wako ataona hpana, sasa weka luncher ya computer ambyo itamuonyesha maruweruwe kidogo
Nenda play store pakua COMPUTER LUNCHER kisha fungua app hyo na ukubali mfumo wa luncher hyo
View attachment 673103
Baada ya kuukubali utajiset na kuonekana hivi MENU
View attachment 673104
Hpo ukitaka file manager=limeandikwa My Pc.
Ukifungua litaonekana hivi
View attachment 673105
Hapohapo utaweza fanya shughuli nyiingi zaidi tofaut na mwanzo kma
Extract, compressing, cut,nk
Kwa maswali+mstatizo zaidi niandikie ama whatsapp
View attachment 673106
0621 072 026
Pia tembelea Forum mpya hapa ya tuzungumze yenye uhuru na upana zaidi
www.tuzungumze.com