beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
My love asubuhi ulinshtua ulivokua unachemka mwili, na pia hata kuonge ulishindwa , naiman vidole vyako vinaeza ongea, kiukweli nimenyong'onyea coz haupo vizuri beibe wishin u a quick recovery my love i believe God will strengthern u kipenzi.
Get well soon hun
ucjali nipo namuhudumia sa hizi, nampa kila kitu anachostahili kukipata hasa kwa wakati kama huu.. endelea kusubili
Jamani ni kweli naumwa!
Hata hivyo haijafikia vidole kushindwa kufanya kazi !
Wote mlionitakia kheri
Charmy
Arabela
King'asti (japo kanipa na kisu)
Mkiva
Kijino
Madame B
Wote kwa ujumla wenu asante!
Nasumbuliwa na misuli ya Bega na namshukuru BeibeNasty kua karibu sana na mimi .
Gws kamanda!
Pole mwayego. Usisumbue sana kula eeh muuguzaji asije akakata tamaa.
Ila mpime pia nanihii basi.
Pole sana Jg, 2nakuombea upone haraka, inabidi uandikiwe cndano kama 7, pole beibe nasty kwa kuuguza
Wapenda sifa za hewan eeehucjali nipo namuhudumia sa hizi, nampa kila kitu anachostahili kukipata hasa kwa wakati kama huu.. endelea kusubili