Get well soon dear Munkari

huo ugonjwa wa Munkari ni mbaya sana aisee, kwa mamlaka niliyopewa na Mungu, nami nakuombea upate uponyaji kama neno la Mungu linavyosema Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu, magonjwa hayana nafasi, pokea uponyaji hapo ulipo sema Amen. na imani yaki itakuponya.
 
asante mtumishi kwa maombi yako hakika Mungu amekwishamponya kwani alisema pale msalabani kuwa imekwisha na alichukua dhambi zetu na magonjwa yetu pale msalabani thanks bestito
 


ubarikiwe saaana mpenzi kwa maombezi yako Mungu akupe maisha marefu yenye baraka
am okey now


etre be'ni !!!
 
Asanteeni wooote mlioniombea
Mungu ameskia maombi yenu
am fine now
mbarikiwe saaaanaaa!!!!!!




niliwamis loh!!!!

Pamoja sana!!!!!!
 
Tezi jike..

Natania ila usicheke utachelewa kupona....pole sana mkuu, get well soon.
hahaha we
1st AID
una utani na mimi !!!!
yah nilikuwa marekani kwa uchunguzi zaidi hahah!!!loh
asante kwa maombi yako!!!!
its over!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…