Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Unalazimika kututaka radhi.
Mpwa gonga thenks kwanza. kisha utuombe radhi kwa kwenda off topik
Unalazimika kututaka radhi.
Unalazimika kututaka radhi.
haswa!shemeji kuna kilema yupo kulee kwenye thredi ya mambo ya kikubwa amerusha masanilo!nenda kashangae uumbaji na kazi ya mungu!(ofu point kidooogo)!
hahahhaa,yani habari mbaya wakati mtu anapotea?Hii ni habari mbaya kwa siku hii ya leo na kwa wikiendi nzima!
hakika siku yangu ni kama imeharibika!Hii ni habari mbaya kwa siku hii ya leo na kwa wikiendi nzima!
noooooooop shem.Uwe na amani, napenda kukuona ukifurahi kila wakati.hakika siku yangu ni kama imeharibika!
I knew you were just kidding. Manake nilishaanza kuandaa pepa la talaka.
mchumba Xpin,naomba ruhusa sitafika,nataka niende kwenye maombi kumwombea Bluray ,si unajua hali yake? hamwamini Mungu.
hahahhaa,yani habari mbaya wakati mtu anapotea?
hakika siku yangu ni kama imeharibika!
I knew you were just kidding. Manake nilishaanza kuandaa pepa la talaka.
I knew you were just kidding. Manake nilishaanza kuandaa pepa la talaka.
Wakuu kwani huyo blurei ndo nani hadi atake kuchafua hali ya hewa? yaani opportunity cost ya kutofika kwenye libeneke ndo kwenda sijui kumwombe blurei? Shemeji ZD please ebu fikiria tena
shemeji leo huogopi foleni?
au unaanzia breki-pointi?!
utani mwingine huu mpwa dah!
Mpwa kwa hapo unapaswa kuniomba mimi radhi! Hahaha! Unakaba mpaka penalt?
hehehehehe!leo ijumaa bana kuna foleni kweli!lazima tuanzie breki-pointi mpaka tufike kibamba tumelewa kweli kweli