Get tugedha ya wapwa na mabinamu wa mahusiano.

nyie hapo juu kwa pamoja mkifika kwenye geti tugeza yenu mnidipu nichonge na nyie
MRS firstlady1

dah, tutakumiss kweli. Kwa nini hutaweza kufika jamani..i am somehow not entirely convinced with your pretext for not coming (ki blurei hapo lol)
 
jamani hebu tupeni update ya get together ilikuwa namna gani

morning to you all
 
Back
Top Bottom