ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
hii inatuhusu mimi na kaka mkubwa figganigga kwani hiyo tarehe inagonga penyewe. nakala kwa Heaven on Earth
ha ha watu wataziogopa party siku hizi .....lakini mkuu naamini watu watakuwa wengi zaidi maana baada ya zile stori members wengi watavuka kwenda ili labda wajue nani ndo nani na kuona kwamba walikuwa wanakosa mengiParty teeena!!!...wakati kuna wamatumbi ndio wanatumia chance ka hizo kuandika historia za maisha yao...
Wazo zuri sana ladyfurahia lakini kwa bahati mbaya mimi nimezaliwa August.:sad:
Party teeena!!!...wakati kuna wamatumbi ndio wanatumia chance ka hizo kuandika historia za maisha yao...
hahahha jamani pole mwaya
ila tunataka tusogeze tuwe na miezi 5 yani kuanizia may hadi september mnasemaje wadau
wala usiweke ...ushalipiwa weyeeeNgoja nianze kuweka kibubu...
wala usiweke ...ushalipiwa weyeee
Hahahaaa...ungeogopa toka zamani sasa hivi ungekua SISTER nadhani ila bahati mbaya umechelewa kuogopa.wala usiweke ...ushalipiwa weyeee
oohhhhh kumbe ingebaki kidogo nisahau