Whaat? Eti kitu cha kawaida?
Anyway, unaweza kuita hivyo kwasababu tu kinafanywa na binadamu, lakini pia ukumbuke sio kila mtu anaiweza. Hata wanaoweza wanatofautiana madaraja
Wanachofanya UNIT 8200 ni large scale hacking, globally, ni zaidi ya juhudi za mtu mmoja. Na hatari zaidi ni kuwa wanapenyeza hadi kwenye taasisi zenye cyber security ya hali ya juu. Angalia walivyofanikiwa kwa KASPERSKY, kampuni kubwa iliyowekeza kuuza tech za cybersecurity, highly trusted lakini hata wao wakageuka wahanga, utaita hii sio ajabu
Wanadeserve credit, hatujawasogelea hata kidogo