Nawarushia hiyo nondo inaweza kubadilisha maisha ya mtu, na hicho kikifanyika nitamshukuru Mungu kwa kuitawanya hiki kitabu ambacho nilikipata bure... kizuri kula na wenzako bwan
thanks man,
ngoja tusome hii nondo, make wengi hatujui potentiality yetu, ngoja tusome tujue what we were born for, or what a degree stands for, nafikiri hii itasaidia sana mtu kujijua thamani yako