Ki kweli jana nimeenda makao makuu ya Airtel-Moroco, wakaniambia siyo free kama watu wanavyodhani ni kwamba: unanunua 175 MB kwa sh. 6000, ukimaliza ndani ya mwezi mmoja wankupa offer ya mb 80, na hii huduma ipo kwa miezi sita. Kwa hiyo hili ni tangazo la kuwavuta watu kwa ujanja, ki ukweli ni ghali kuliko Zantel au Voda.