[URL="http://download.justseed.it/3e49ca4e2345e9c6117b5f8701423acc9f07633f/DRP13-R380-DVD.iso"]DriverPack Solution 13 R380 DVD-ISO[/URL]
hiyo avatar yako mkuu inapiga keleleSHUKRANI MKUU....:wave:
Nimejaribu kudownload inakataa kama inawezekana tuwasiliane unitumie DVD yake.
Karibu
- Yap in support windows XP, VISTA, 7 na 8.
- Nimejaribu hata kwa win 8.1 inakubali
Mkuu emu tupia tena hii mali ghafi ninashida nayo sana
na ikiwezekana zirudishie na win 8.1 86 and 64 bits
[URL]https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/521280-windows-8-1-aio-7-in-1-x64-en-us-sep10-2013-a.html#post7305075[/URL]
- DRP 13.0 inaweza kuchagua na kufunga(install) dereva(drivers) sahihi kwa ajili ya kompyuta yako pasipo kutegemea internet bali moja kwa moja kutoka katika HDD / flash / DVD.
Toleo hili ina driver nyingi mpya na zimekuwa optimized kwa mfumo mpya wa uendeshaji Windows 8.
- DRP 13.0 moja kwa moja kuchagua na kufunga dereva sahihi kwa ajili ya kompyuta yako.
Nimeweka direct Download link..
​Karibu.Code:[URL="http://download.justseed.it/3e49ca4e2345e9c6117b5f8701423acc9f07633f/DRP13-R380-DVD.iso"]DriverPack Solution 13 R380 DVD-ISO[/URL]
Mwl.RCT mimi iyo driverpack link imekataaaa
Mwl.RCT mimi iyo driverpack link imekataaaa