Get a professional CV review and edit from 35,000/= TZS only

Get a professional CV review and edit from 35,000/= TZS only

Wakanda27

Member
Joined
May 23, 2020
Posts
40
Reaction score
509
IMG_8364.jpg
 
Mkuu ungeweka bei kwa level, kweli graduate alipe sawa na mwenye 3 years experience

Na unawapa security ipi wateja wako, mtu akitoa hiyo awe na amani kwa hatua mbele
 
Mkuu ungeweka bei kwa level, kweli graduate alipe sawa na mwenye 3 years experience

Na unawapa security ipi wateja wako, mtu akitoa hiyo awe na amani kwa hatua mbele

Bei ni kuanzia 35,000 mkuu inamaana kuna range. Na kuhusu security ni payment was CV ikishakuwa ready
 
Graduate mzima uende ukatoe 35,000 kutengenezewa CV??sasa huko Chuo ulienda kusoma kweli au kuzungusha makalio tu khaaa!!!halafu 35,000 kitu cha kukaa kwenye Computer dakika 20 ni wizi kama wizi mwingine tu
 
Elimu yetu inapumbaza watu.

Yani mimi nitoke home kuja ofisini kwa watu eti nitengenezeeeni CV?

Duh na mnapata wateja

Ila niwatakie kila la heri
 
Back
Top Bottom