Gesti za Kichina

Ndio shida ya kudandia wavulana. Akome na yeye
Nimemuimbia nyimbo
" Dada mwajuma nipe kidogo nichangamshe damu "
Kweli akanipa... [emoji444] [emoji441] [emoji23] [emoji1] [emoji13]
 
wewe I'd inakuchanganya sana hebu nipe sheria kuwa Jf lazima uweke I'd ya kike au kiume, ni maamuzi ya mtu bhanaa. [emoji1] [emoji23] [emoji13]

Kama mtu ni mwanaume,halafu anachagua kuweka ID ya kike,kuna psychological problem kua muhusika hayupo interms with his/her sexuality....

Ni simpo tu,mimi ni maskini,halafu nikaweka ID ya tajiri say Bill Gates,ni kwamba nina tamanio la kua successful kama BL na umasikini wangu nauchukia...

Hakuna sheria yoyote JF kuhusu ID,just do you!..Ishu ni kua,uchaguzi wako wa ID unaonesha mrengo fulani,tumeusema,sio kwamba tunakulazimisha anything,ni kua tumeusema tu...Weka ID yoyote uitakayo...

Kuna pyschological drives zilizokufanya ukaweka ID ya kike...Sio dhambi,it is your choice...Tukisema pia ni our choice kama wewe ulivyo na choice...Hivyo we are even!
 
Mkuu naona kama dishi limecheza, au ni mimi mtizamo wangu sijakuelewa.

Vinginevyo wahi kwa fundi wakarebishe utajikuta Milembe makao makuu ya Serikali ya awamu ya 5.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
""Maradhi""hawa wasiojua kiswahili ndio wanafaa kutwa uhamiaji
 
Umekula zigo na kusepa bila kumpa hela daah hyo dada akikuta cku ya 2 atataka akutafune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…