Gesti za Kichina

Gesti za Kichina

Makonda anahitaji msaada.
Jiji linazidi kuwa kuchafuliwa na waxinzi, eeh Mungu msaidie Bashite kulisafisha jiji letu.
 
Katika kitu ambacho siwez kufanya na sitokuja kukifanya nimchukue demu nimpeleke gest nimgegede haraf nimkimbie allow siwez,au eti niondoke zangu bila kumpa chochote naona kama vile natenda dhambi mara mbili vile
Ni kweli kuna dhambi mbili hapo, uasherati na wizi. Hiyo ya pili inakaribisha kisasi na aibu.
 
big up sana mkuu sometimes bila kuwa nyang'au mbunye utakuwa unazisikia kwenye redio tu...!!wanabania sana vitumbua vyao!!BIG UP!
 
Kumbe we dume

Mkuu kuna watu wana identity crisis....

na huyu anaweza kua na matatizo makubwa zaidi...huenda male physical body yake ubongo wake hau-rejisti kua yeye ni mwanaume,una-rejista kama mwanamke japo yuko kwenye physical body ya mwanaume...

Hawa hufikia stage wanafanya upasuaji kubadilisha jinsia...

Ugonjwa hua pole pole..soon yakafika mbali haya!
 
Juzi jumamosi nimekutana na mrembo katika harakati za kusaka pesa ya kula samaki, nikamtamani ghafla nikajaribu kumchekesha kidogo mwishowe nikanyakua namba yake ya simu, mawasiliano yakawa mazuri nikajaribu kumpa maneno mazuri mazuri ya ushawishi ili anipe kkkuuummmaaa akaniambia niwe na subira anifikirie kwanza.

Mawasiliano yakaendelea kung'aa vyema sasa leo saa 12 asubuhi akanitexti kwa simu kuwa tukutane " down town " anahitaji kuongea na mimi vile vile nimkopeshe laki 1 kuna ishu anataka kufanya, nikaona hii ndiyo fursa ya kula nyama freshi mapema asubuhi kabla haijaingia buchani ikitokea machinjoni, nikafika eneo husika tukaonana tukakaa sehemu kuzungumza lakini nikatumia hiyo njia kuomba na mimi nipewe papa demu akawa anakaza kimtindo wala sikutumia nguvu kubwa kumshawishi nikamwambia hela nitakupa tena nakupa laki na nusu bila riba na sitaki unirudishie endapo utakubali ombi langu, wazeeee vyuma vimekaza na grisi zimeisha akaona isiwe kesi ngoja anipe tu big match, upesi upesi bila muda kupoteza nikaanza kusaka gesti nikakuta nyingi zimefungwa hiyo saa 2 wengi wanachelewa kufungua zingine zimejaa watu, sasa katika msako nikaelekezwa kwenye gesti mmoja mitaa ya kawe nikatia mguu chap chap na huyo demu.

QING JIAN WUXIA GUEST ni jina ya hiyo gesti ya kichina maradhari yake imekaa vyema nikalipa nikazama ndani na demu, cha ajabu kufika ndani ya chumba hakuna kitanda ila kuna meza ya kioo ndogo, kuna kamba 2 kuna stiki ndefu 2 na chumba kipo plan hivyo vitu vipo sakafuni, sasa kwa mshangao nikaanza kupiga mahesabu nafanyaje maana nishazoea vitanda vya uswazi nati zake zimelegea vinapiga kelele na chaga imeungwa kwa kufungwa waya baada ya kuvunjika, nikaona isiwe kesi " tukafanya tabia mbaya " kiubishi ubishi asubuhi saa 2 mpaka saa 4 nikaboreka kweli kwa ile gesti maradhari yake ilivyo yaani hakuna raha ni karaha kwa wateja wake nikaamua kuishia katikati ya mchezo baada ya kuwa off mood, tukamwambia demu subiri nikaagize supu tunywe hivyo nisubiri nikatoka nikaenda kutake bath chap chap nikatokomea zangu, me naona meseji za demu anatuma " mbona kimya " mara " mbona huji xaxa " mwishowe akaamua kupiga sijapokea simu nimefika ghetto ili nipumzike , nikamjibu kwa text " nimepata dharura kuna mgonjwa naenda kumuona " aiseee hiyo mvua ya matusi inayoingia kwenye simu siyo ya nchi hii...... [emoji13] [emoji1]
Ulilala chini? Au kwenye Meza ya kioo.?
 
hujamtendea Haki hyo dada Wa Watu maskini kama namuona
 
Hahaha ulimkomesha lol....umalaya gan wa asubh asubh aaah nakuunga mkono braza big up sana....
 
Back
Top Bottom