Gesti bubu Kinondoni makaburini

Kipi ambacho kimekuuzi ni kamba zako tulizozistukia au ?acha kupanic bro maneno kibaaooo

Leomimi ni vema tu nikuombe radhi sasa kwakuwa mmeshastukia kamba zangu sitazitumia tena nitatumia minyororo au waya naona hizo hamtazistukia kwa haraka
 
Last edited by a moderator:
hiyo si kinondoni ya italy,mbona hata lindi kuna muhimbili
 
Alafu watu kama nyie ndio hamuamini uwepo wenu wa dar es salaam mana mlikuja kupitia shule zenu bila iyo sijui ungekuwa wich au lal'kwa mtu wa kaeaida hupaswi kushamgaa mtu asipajue dar kwani dar ndio eapi eti.

Sister vp mbona povu au biashara mbaya
 
Maisha kweli siyo lelemama;
Unahangaika hivyo ili watoto wapate mahitaji, kesho mtoto anakutukana.
 
Quiquiquiiiii hii post imefufukia wapi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…