Gesti bubu Kinondoni makaburini

Umekushuka tu, uache uongo mtoto wa kiume haipendezi kuwa muongo!

Nakuunga mkono ff, kwa nini ulete habari ya uongo jukwaani? Ili iweje? Ingekuwa siasa tungesema poa labda anapiga propaganda, sasa hii ni nini?
 
Faiza umemaliza kila kitu manake tulishafungwa kamba za maana tu.
 
Afadhali umempashua faiza kazi kucopy mada za nairaland forums nakutuletea huku na mwenzake bulldog
 
faiza foxy nimependa bandiko lako
pokea like mia
 
Last edited by a moderator:
Faiza umemaliza kila kitu manake tulishafungwa kamba za maana tu.

Hivi kwanini mnakuwa na akili ndogo hv? au hamuijui kinondoni makaburini ilivyo? wanaofahamu nini maana ya hili jukwaa hawaishangai hiyo picha tunasocialize nyie mnaotaka kuamini kila muonacho ndio mna matatizo nimeshaweka picha nyingi nikiwataja wanajamii tunaoenda nao sawa wanajua si wao ila tumejumuika pamoja hakuna aliyechukia wala kuweka link ya kuthibitisha kwamba si yeye jaribuni kuwa great thinkers
 
Afadhali umempashua faiza kazi kucopy mada za nairaland forums nakutuletea huku na mwenzake bulldog

Kwa vyovyote ukidandia gari kwa mbele lazima kutokee tatizo mbona sioni aliyehoji kuhusu hiyo picha na uhalisia wake mpaka ff alipoweka link yake? mbona hamnaga muda wa kupima kitu kabla hamjaamua kureply? haraka ya nini?
 
Usimind mshana Jr criticism nikawaida

haina shida lakini lazima ziwe zenye basics mimi ni mtu mwelewa mno lakini sipendi kuitwa muongo kwenye jambo ambalo wazi na linaonekana uhalisia wake hata hivyo nakushukuru
 
Kipi ambacho kimekuuzi ni kamba zako tulizozistukia au ?acha kupanic bro maneno kibaaooo
Kwa vyovyote ukidandia gari kwa mbele lazima kutokee tatizo mbona sioni aliyehoji kuhusu hiyo picha na uhalisia wake mpaka ff alipoweka link yake? mbona hamnaga muda wa kupima kitu kabla hamjaamua kureply? haraka ya nini?
 
Alafu watu kama nyie ndio hamuamini uwepo wenu wa dar es salaam mana mlikuja kupitia shule zenu bila iyo sijui ungekuwa wich au lal'kwa mtu wa kaeaida hupaswi kushamgaa mtu asipajue dar kwani dar ndio eapi eti.
Kweli nawewe uliamini pale ni kino? makaburini? au huishi dar? na hujafika mitaa hiyo?
 
Alafu watu kama nyie ndio hamuamini uwepo wenu wa dar es salaam mana mlikuja kupitia shule zenu bila iyo sijui ungekuwa wich au lal'kwa mtu wa kaeaida hupaswi kushamgaa mtu asipajue dar kwani dar ndio eapi eti.

du naona kama unataka kuanzisha ligi ya maneno sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…